current location: home  > android  > Internet Software > Cheka Point - Vichekesho
Cheka Point - Vichekesho

Cheka Point - Vichekesho

safenonpoisonousdetected
tag:
Hot collection
List recommendation
  • introduction
  • picture
  • Boutique
  • Related
Developer's DescriptionBy TeeknetCheka Point ni mtandao wa kijamii ambao unahusisha Video Fupi pamoja na Picha za Vichekesho.Cheka Point ni mtandao wa kijamii ambao unahusisha Video Fupi pamoja na Picha za Vichekesho. Kupitia mtandao huu mtumiaji anaweza kupakua au kuweka video au picha za Vichekesho na moja kwa moja unaweza kupata Point ambazo baadae anaweza kuzibadilisha na kuwa Pesa Taslimi .Kupitia Mtandao wa Cheka Point unaweza kuweka Video zote za Vichekesho pamoja na kuelimisha, pia unaweza kupakua video yoyote ile unayo ipenda au unaweza kushirikia na wenzako kupitia kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kama Instagram, Facebook, WhatsApp Status na mitandao mingine.Mengine Cheka PointUtaweza kutengeneza akaunti yenye wasifu wako ambapo ndio utatumia kuweza kupata Cheka Point.Utaweza kufollow akaunti ya mtu yoyote ambaye unapenda vichekesho vyakeUtaweza kuweka Video za kuchekesha, picha za vichekesho na pia unaweza kuweka vichekesho kwa kuandika kwa maandishi.Utaweza Kutoa Maoni kwenye Video au picha yoyoteUtaweza kutafuta video za kuchekesha kwa maneno au jina la mtuUtaweza kuweka reaction kwenye picha au video yoyote ya kuchekeshaNa mambo mengine mengi.....Bado tunaendelea kuboresha app ya Cheka Point hivyo hakikisha unapakuwa app hii kisha toa maoni yako ili tuweze kuboresha zaidi.
Screenshot group
Related recommendation