current location: home  > android  > Multimedia > Wasafi TV | Video & Music
Wasafi TV | Video & Music

Wasafi TV | Video & Music

safenonpoisonousdetected
tag:
Hot collection
List recommendation
  • introduction
  • picture
  • Boutique
  • Related
Developer's DescriptionBy Rubega DevelopersWasafi TV Live & WCB Wasafi Fans App | Tazama kila kitu cha Wasafi kupitia app hii.Wasafi TV Live & WCB Wasafi Fans App | Tazama kila kitu cha Wasafi kupitia app hii. Tunakusogezea vitu vyote muhimu na exclusive kutoka Wasafi kuanzia Wasafi Records mpaka Wasafi Radio na TV.Tazama shows, interviews, tours, video lyrics, life style, behind the scene na kusikiliza music pia kwenye app hii. Na tazama vipindi vya Wasafi TV kila siku.Usipitwe na update, Kua wa kwanza kupata habari za wasanii wa WCB Wasafi kila zinapotoka.- Diamond Platnumz- Rich Mavoko- Queen Darleen- Rayvanny- Harmonize- Lavalava- Mbosso Khan- RJ The DJProgramu hii haiweki nyimbo za kupakua zinazokiuka haki miliki. Pakua programu hii kwa bure uweze kusikiliza miziki na kutazama video kwa kutumia internet.KanushoHii ni programu isiyo rasmi. Programu hii na maudhui yake hayakubaliki rasmi au yanayotokana na, wala kuhusishwa na au kushirikiana na wasanii wa muziki au vyombo vilivyounganishwa vya msanii, kama vile usimamizi au lebo ya rekodi. Marejeo yote na haki miliki ni mali ya wamiliki wao. Programu hii ina matangazo yanayolingana na Sera ya Google Play na Tafadhali support wasanii na makampuni husika. Asante.
Screenshot group
Related recommendation