current location: home  > android  > Communications > BUNGE LA TANZANIA
BUNGE LA TANZANIA

BUNGE LA TANZANIA

safenonpoisonousdetected
tag:
Hot collection
List recommendation
  • introduction
  • picture
  • Boutique
  • Related
Developer's DescriptionBy Unikrag Company LimitedAplikesheni hii ilitengezwa kwa kusudi la kukuletea taarifa kutoka kwenye tovuti ya bunge (www.bunge.go.tz) na kuzileta katika mwonekano wa simu...Aplikesheni hii ilitengezwa kwa kusudi la kukuletea taarifa kutoka kwenye tovuti ya bunge (www.bunge.go.tz) na kuzileta katika mwonekano wa simu za mkononi. Matumizi ya aplikesheni hii yanasaidia watumiaji kutazama taarifa za bunge la Tanzania katika hali iliyobora na ya haraka zaidi hata mtandao unapokuwa hafifu.Aplikesheni hii ilitengezwa ili kuleta ubora katika upatikanaji wa taarifa za bunge la Tanzania kwa kutumia kiwango kidogo sana cha mtandao wa intaneti. Aplikesheni hii pia imetengezwa kusaidia hata wakati ambapo mtumiaji hana mtandao bado anaweza kuona badhii ya taarifa ambazo alikwishawahi kuzipitia wakati akiwa na mtandao.This application was designed purposely to fetch the information from the parliament website and display the content to the mobile phone clients. The use of application help the users to view all the information about the parliament of Tanzania in an optimized way.The Application is designed to improve performance and help the mobile phone clients to consume very reason data to see the content. The application is also designed to operate even when the internet access is low. Furthermore the Application stores the necessary data in the offline mode when the client has no data or internet access still can see the stored data.
Screenshot group
Related recommendation